Jinsi yakubadilisha Rangi ya Ajira forum App weka rangi uipendayo na ikuvutiayo ni rahisi mno



Hatua ya kwanza Bonyeza upande wa juu kushoto mwa app yako (Tazama picha ya maelekezo)

                                               








                                         Taswira inaweza kujumuisha: Mtu 1, matini

 Hatua ya pili Bonyeza Neno ' THEME' Hapo utaona Rangi mbali mbali chagua uipendayo (Tazama maelezo katika picha)
                           Hakuna ufafanuzi unaopatikana wa picha.



HATUA YA MWISHO chagua rangi uipendayo kwa kubonyeza rangi husika 

                           



                              Hakuna ufafanuzi unaopatikana wa picha.


 
  Update /Install App yetu Ili kuendelea Kupata Huduma zetu katika Ubora zaidi BONYEZA HAPA CHINI 👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇


Jinsi yakubadilisha Rangi ya Ajira forum App weka rangi uipendayo na ikuvutiayo ni rahisi mno Jinsi yakubadilisha Rangi ya Ajira forum App weka rangi uipendayo na ikuvutiayo ni rahisi mno Reviewed by kidebwaymnyama media on June 20, 2019 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.