
TUME YA UTUMISHI SERIKALINI INAWATANGAZIA VIJANA AMBAO WAMEHITIMU MASOMO YA UDAKTARI WA MIFUGO NCHINI CHINA KWA UDHAMINI WA SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR KUFIKA OFISI YA TUME YA UTUMISHI SERIKALINI KWA AJILI YA KUFANYIWA USAILI SIKU YA JUMATANO YA TAREHE 17 JULAI, 2019 SAA 2:00 ZA ASUBUHI. PIA WANATAKIWA KUCHUKUWA VYETI VYAO HALISI VYA KUMALIZIA MASOMO, CHETI CHA KUZALIWA NA KITAMBULISHO CHA MZANZIBARI MKAAZI NA WAKIFIKA WANATAKIWA KUONANA NA KATIBU WA TUME YA UTUMISHI SERIKALINI ZANZIBAR. VIJANA WENYEWE NI HAWA WAFUATAO:-
NAM. JINA KAMILI
1 HAMAD ALI HAMAD
2 KASSIM ALI BAKARI
3 ABDULRAHIM BAKARI MATAKA
4 ASMA KOMBO HAJI
5 HABIBA MKOMBE PANDU
AHSANTENI
Maisha ni Rahisi zaidi😋 kwa watumiaji wa WhatsApp, Instagram na Facebook Sasa utaweza kudownload whatsapp status,insta &fb video,GIF na picha ukiwa na All in one Downloader BONYEZA HAPA CHINI 👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
WITO WA USAILI KWA WAHITUMU WA MASOMO YA UDAKTARI WA MIFUGO ZANZIBAR
Reviewed by kidebwaymnyama media
on
July 16, 2019
Rating:
No comments: